Klabu ya Al Ittihad Alexandria inayoshiriki ligi kuu ya Nchini Misri imemtupia Virago aliyekuwa kocha wao Mkuu Zoran Maki. 

Zoran Maki alijiunga na timu hiyo akitokea katika klabu ya Simba Sc ya nchini Tanzania.

April 4, 2023 klabu ya Al Ittihad Alexandria ilitoa taarifa ya kumuongezea kandarasi ya mwaka mmoja kocha huyo na July 17,2023 klabu hiyo imetangaza rasmi kusitisha kandarasi yake.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement