SIMBA SC YAMTAMBULISHA ANAYETARAJIA KUZIBA NAFASI YA ZIMBWE JR

Mligo anatua ndani ya Klabu ya Simba akiwa ni sehemu ya wachezaji wanaoratajiwa kufanya makubwa huku akitarajiwa kuziba pengo lililoachwa na aliyekuwa Nahodha wa kikosi hicho Mohamed Hussein ambaye ameondoka klabuni hapo.