COASTAL UNION YATANGAZA MRITHI WA KOCHA JUMA MWAMBUSI
Kabla ya kujiunga na Coastal Union, Ameir alikua kocha huru kwani aliachana na klabu ya KVZ ya Visiwani Zanzibar.

Ameir amejiunga na Coastal Union kuchukua mikoba ya Juma Mwambusi ambaye amemalizana na wana mangushi hao.
