Thomas Ulimwengu amejiunga na klabu ya Singida Fountain gates ya Singida kama mchezaji huru. Ulimwengu aliwahi kuzitumikia TP Mazembe,Elkstuna,Al Hilal,JS Soura kwa nyakati tofauti.
Klabu ya Coastal Union ya Jijini Tanga imemtambulisha Mohamed Ameir kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo kuelekea msimu ujao wa mashindano.
Klabu ya Simba imethibitisha kunasa saini ya Mlinzi wa kushoto Anthony Mligo kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Namungo Fc.
Subscribe to our newsletter to get latest news, popular news and exclusive updates.