Tunapenda kukitangaza kikosi chetu kipya baada ya kuwaweka sokoni wachezaji wetu saba (7) na kutoa kwa mkopo wachezaji wengine wawili (2) kumalizia msimu 2023/2024.

Wachezají wanaounda kikosi chetu na nafasi zao ni hawa wafuatao:

GOLIKIPA

1. Beno Kakolanya

2. Ibrahim Parapanda

3. Benedict Haule

MABEKI

1. Biemesi Carno

2. Abdulmajid Mangalo

3. Hamad Waziri

4. Khaleed Idd Gego

5. Yahaya Mbegu

6. Kelvin Kijili

7. Nicholas Wadada

VIUNGO

1. Bruno Gomes

2. Yusuph Kagoma

3. Aziz Andabwile

4. Laurian Makame

WINGA

1. Gyan Nicholas

2. Deus Kaseke

3. Dickson Ambundo

4. Amos Kadikilo

5. Frank Zakaria

WASHAMBULIAJI

1. Habib Kyombo

2. Thomas Ulimwengu

3. Francy Kazadi

4. Enock Atta Agyei

Aidha, Singida fountain gate wachezaji wafuatao wamewaweka sokoni kwa sababu za kibiashara:

1. Elvis Rupia

2. Duke Abuya

3. Morice Chukwu

4. Joash Onyango

5. Mukrim Issa

6. Marouf Tchakei

7. Khomeiny Abubakar

Wachezaji wawili waliowatoa kwa mkopo kumalizia msimu (2)

1. Meddie Kagere - Namungo FC (Tanzania)

2. Gadiel Michael - Cape Town Spurs FC (Afrika Kusini)

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement