Uongozi wa kablu ya simba umetangaza kuchana na mchezaji mkongwe Erasto Edward Nyoni baada ya kuitumikia klabu ya Simba kwa misimu takriban 6.
Klabu ya Coastal Union ya Jijini Tanga imemtambulisha Mohamed Ameir kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo kuelekea msimu ujao wa mashindano.
Klabu ya Simba imethibitisha kunasa saini ya Mlinzi wa kushoto Anthony Mligo kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Namungo Fc.
Subscribe to our newsletter to get latest news, popular news and exclusive updates.