Kiungo wa JKU kutoka Zanzibar, SHEKHAN IBRAHIM HAMIS amejiunga na YANGA SPORT CLUB.

Kiungo huyo alikuwa sehemu kikosi cha Zanzibar kilichoshiriki CECAFA U18 mwaka huu 2023 yaliyofayika nchini Kenya.

Kipaji kikubwa kutoka kwa SHEKHAN IBRAHIM HAMIS cha kucheza eneo kubwa katikati mwa kiwanja, uwezo mkubwa wa kupiga pasi ndefu na fupi pia ni hodari wa kupora mpira na kupiga mashuti makali.

Anahitaji muda, uvumilivu na nafasi kubwa ya kuendelea kucheza na kujifunza kutoka kwa viungo wenye uzoefu atakaowakuta YANGA SC, kina Khalid Aucho, Mudathiri, Aziz Ki na Pacome.

Utambulisho rasmi utatangazwa. 


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement