Said Khamis Ndemla Ajiunga na JKT Tanzania
Said Hamisi Ndemla amejiunga na JKT Tanzania akitokea Singida Fountain gates [Zamani Singida Big Stars].
Ndemla ameungana na Hassan Dilunga ambaye waliwahi kuitumikia Simba kwa pamoja.
Nyota hao tayari wameanza maandalizi ya msimu mpya na kikosi cha JKT Tanzania