Real Madrid wako tayari kutoa ofa yao ya mwisho kwa Kylian Mbappe mwezi Januari.

Madrid wapo tayari kutoa ofa ya mwisho kwa Mbappe mwezi Januari, lakini watampatia hadi tarehe 15 mwezi huu kufanya maamuzi kuhusu mustakabali wake.

Kwa mujibu wa AS Mkataba wa Mbappe unamalizika majira ya joto na atakuwa huru kufanya mazungumzo na Madrid, ambao wamedhamiria kutomkosa tena ikiwa hatakubali makubaliano na tarehe ya mwisho ya kilabu, basi watabadilisha mwelekeo wao na kuwinda saini ya Erling Haaland.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement