Taarifa kutoka Newcastle United kumhusu Dan Ashworth ya kumpa mkono wa kwaheri. 

"Darren Eales, Mkurugenzi Mtendaji wa Newcastle United, alisema: "Kwa kawaida tumesikitishwa kwamba Dan Ashworth amechagua kuondoka, hata hivyo safari yetu ya kusisimua haijasimama na mchakato wa kuajiri mkurugenzi mpya wa michezo utaanza mara moja. 

 "Tunamshukuru Dan Ashworth kwa juhudi zake akiwa Newcastle United na tunamtakia heri yeye na familia yake kwa siku zijazo. 

Manchester United tayari walishafikia makubaliano na Mkurugenzi wa michezo Dan Ashworth siku chache nyuma na alikubali kujiunga na Mashetani Wekundu.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement