Klabu ya AS FAR Rabat inayoshiriki ligi kuu ya Nchini Morocco imemtambulisha rasmi Nessredine Nabi kuwa kocha wao mkuu. 

Nessredine Nabi anajiunga na Rabat akitokea katika klabu ya Yanga Sc na amesaini kandarasi ya miaka 2 ya kuhudumu katika klabu hiyo.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement