NAPOLI WAINGIA VITANI KUMUWINDA ANTONIO CONTE
Klabu ya SSC Napoli imeanza mazungumzo na kocha Carlo Ancelotti kwa ajili ya kurithi mikoba ya Luciano Spalletti ambaye anaenda kuinoa timu ya taifa ya Italia
Hakuna makubaliano yeyote ambayo yamefikiwa kwa pande zote mbili mpaka sasa lakini Rais wa klabu ya SSC Napoli Aurelio De Laurentiis anahitaji Antonio kuinoa klabu hiyo.