Michael Vinicius Asajiliwa KCCA
Klabu ya KCCA wamethibitisha kumsajili Michael Vinicius Silva De Morais (30) raia wa Brazil kwa mkataba wa miaka miwili.
Nyota huyo aliwahi kuzitumikia Fluminese, Resende, Ferroviaria, Carscavel, Artsul, Asante Kotoko na Rahmatganj MFS ya Bangladesh.