Michael Masinda Ajiunga na Mashujaa Fc
Michael Masinda amejiunga na klabu ya Mashujaa FC ya Kigoma akitokea Tanzania Prisons ya Mbeya.
Michael Masinda ameenda kuungana na kocha wake Abdallah Mohamed "Baresi" ambaye walikuwa wote msimu uliopita Tanzania Prisons.