Kylian Mbappe tayari amesaini mkataba wake na Real Madrid, jarida la MARCA la Uhispania limeripoti.

Mfaransa huyo atakuwa mchezaji wa Real Madrid na atasaini mkataba kuiwakilisha kwa misimu mitano.

MARCA imeweza kuthibitisha kuwa Kylian Mbappe na Real Madrid wametia saini makubaliano, wiki mbili zilizopita, na ifikapo Julai 1, mshambuliaji huyo wa Ufaransa atakuwa mchezaji rasmi wa timu hiyo.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement