Manchester United imekuwa ikihusishwa na kumuuza kiungo wa kati wa Scotland Scott McTominay, lakini klabu hiyo inapanga kusalia na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 na kumpa mkataba ulioboreshwa.


United inamlenga pia kiungo wa kati wa Benfica na Ureno Joao Neves, 19, kama mojawapo ya vipaumbele vyao msimu wa joto, lakini klabu hiyo inaweza pia kufikiria kumnunua mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa Adrien Rabiot, 28, anayechezea Juventus, kama chaguo wanaloweza kumudu.


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement