Baada ya Mamelodi sundown kuachana na alie kua kocha Mkuu RHULAN MOKWENA miaka 37 sasa jicho lao lote limeangukia kwa mreno anae kinoa kikosi cha Esperance de Tunis bwana Jose Miguel Cardoso

Kocha huyu Jose Miguel Cardoso ambae yupo na kikosi cha Esperance de Tunis msimu huu akiwa na kiwango bora sana na kuitengeneza timu shindani na ngumu kufungika

Msimu huu Esperance de Tunis wamechukua kombe la ligi lakini pia wamefanikiwa kufika fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Al ahly Cairo 

KOCHA Huyu Jose Miguel Cardoso alifanikiwa kuifunga Mamelod sundown kwenye Nusu fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika nje na ugenini kitu ambacho kilichochee Kocha Mokwena kuonekana hana mbinu nyingi kwani Esperance de Tunis walikua wanazuia vizuri ko Mamelodi sundown wakashindwa kuifunga kabisa timu hiyo 

SASA Kocha Huyu Jose Miguel Cardoso anapewa nafasi ya Kwanza kutua pale Mamelodi sundown je, atafanikiwa kuivusha Mamelodi na kua tishiooo Zaid barani Afrika 

KOCHA Mokwena misimu yote ndani ya Mamelod sundown, michezo 93 jumla ameshindwa 60, sare 23 na kupoteza 7 tu lakini bado ameondoshwa

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement