Galatasaray Wamtambulisha Wilfred Zaha Kuwa Mchezaji Wao Mpya.
Galatasaray imethibitisha kunasa saini ya kiungo mshambuliaji Wilfried Zaha kutokea Crystal Palace kwa mkataba wa miaka mitatu hadi 2026.
Mchezaji huyo ametangazwa siku ya leo baada ya kufuzu vipimo vya Afya, hivyo atahitumikia timu hiyo kwa msimu ujao 2023/2024.