EZE AONGEZA MKATABA NA PALACE
kiungo wa Crystal Palace Eberechi Eze (25) amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na nusu utakao mbakisha klabuni hapo mpaka 2027
Eze alijiunga na Palace kutoka Queens Park Rangers kwa mkataba wa thamani ya £19.5m mnamo 2020. Alikuwa mfungaji bora wa klabu hiyo msimu uliopita, akiwa na mabao 10 kwenye Ligi ya uingereza pamoja na asisti nne.