Klabu ya Everton imethibitisha kumsajili beki wa zamani wa Manchester United na Aston Villa Ashley Young kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Ashley Young anajiunga na Everton akitokea katika klabu ya Aston Villa
Klabu ya Coastal Union ya Jijini Tanga imemtambulisha Mohamed Ameir kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo kuelekea msimu ujao wa mashindano.
Klabu ya Simba imethibitisha kunasa saini ya Mlinzi wa kushoto Anthony Mligo kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Namungo Fc.
Subscribe to our newsletter to get latest news, popular news and exclusive updates.