Eduardo Celmi Camavinga ni mchezaji wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya La Liga ya Real Madrid. 

Mzaliwa wa Angola, anachezea timu ya taifa ya Ufaransa. 

Anacheza zaidi kama kiungo wa kati lakini pia anaweza kupangwa kama beki wa kushoto na kiungo mkabaji.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement