Dodoma Jiji Waongeza Kandarasi Mpya kwa Wachezaji Wake Wanne
Dodoma jiji fc imethibitisha kuwaongezea mkataba mpya wachezaji wake wanne kipa Aron Kalambo , mabeki Abubakari Ngalema na Agustino Nsata , pamoja na mshambuliaji Collins Opare
Wachezaji hao wote walikuwa wachezaji wa kikosi cha kwanza cha Dodoma Jiji fc .
#Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)
#Tv3Tanzania #GameOn