Cedric Kaze Ajiunga na Wauaji Wa Kusini "Southen Killers" Namungo Fc
Klabu ya Namungo imemtangaza Cedric Kaze kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo yenye maskani yake Ruangwa mkoani Lindi.
Kupitia taarifa yao Namungo wameweka wazi kuwa Kaze atasaidiwa na kocha Denis Kitambi pamoja na Shadrack Nsajigwa.
Cedric Kaze qnajiunga na klabu hiyo akitokea katika klabu ya Yanga Sc.