Ben White kusaini mkataba mpya Arsenal
Arsenal wanajiamini zaidi kupata mkataba mpya na kukamilika hivi karibuni kwa Ben White, Mazungumzo yanaendelea tangu Agosti/Septemba.
Ben White Anaonekana mwenye furaha katika klabu ya Arsenal huku klabu ikitaka mkataba wake mpya ufungwe baada ya Odegaard kusaini mwezi uliopita.