Beki wetu wa kulia wa Azam Fc Nathanael Chilambo ameongeza mkataba wa kuendelea kusali kwenye klabu hiyo hadi 2026 baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili.

Mkataba wa awali wa beki huyo ulikuwa ukiisha mwishoni mwa msimu huu huku taarifa zilikuwa zikieleza timu ya Singida Black Stars (Ihefu) ilikuwa ikihitaji huduma yake.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement