Klabu ya bayern inamuona Eric Dier kama mojawapo ya machaguo matatu ya kuongeza katika safu ya ulinzi Kocha wa Bayern Thomas Tuchel tayari aliidhinisha Dier aliwindwa toka msimu uliopita lakini mkataba huo uliporomoka kutokana na masharti.

Spurs itakuwa tayari kumruhusu Dier kuondoka mara tu watakapopata beki mpya wa kati kama mbadala wake.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement