Aymeric Laporte Aamua Kumfuata Cristiano Ronaldo
Aymeric Laporte amekubali kuondoka katika klabu ya Manchester City na kwenda kujiunga na klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia.
Klabu ya Manchester City itapokea kiasi cha €30M kama gharama ya uhamisho ya mchezaji huyo ya kujiunga na klabu ya Al Nassr.