Klabu ya Arsenal wanahusishwa kutaka kumnunua winga Mykhailo Mudryk katika majira ya joto kutoka Chelsea

Mudryk alisajiliwa kutoka Shakhtar Donetsk Januari 2022 kwa ada kubwa pauni milioni 89

Licha ya kuanza vibaya katika maisha yake ya soka pale darajani , Arsenal inaripotiwa kuwa na nia ya kunasa saini yake , kwa mujibu wa gazeti la Uhispania Ficchajes

Ripoti hiyo inabainisha kuwa Chelsea itasikiliza ofa kwa winga huyo mwenye umri wa miaka 22, lengo kuu likiwa ni uhamisho wa mkopo ili kukuza maendeleo yake

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement