Klabu ya Al Ahly imemtambulisha rasmi mchezaji wao mpya Antony Modeste ambaye anajiunga na klabu hiyo akitokea katika klabu ya Borussia Dortmund 

Antony Modeste amesaini kandarasi ya mwaka mmoja na tayari kuna kipengele cha kumuongezea kandarasi kutokana na idadi ya mechi atakazocheza.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement