Manchester United wako tayari kusikiliza ofa kwaajili ya kumuuza winga wao Antony msimu wa joto, kwa mujibu wa The Daily Mail

Winga huyo alijiunga kutoka Ajax msimu wa joto wa 2022 kwa £86m huku kukiwa na shangwe nyingi, Lakini Erik ten Hag, ambaye aliongoza mbinu hiyo baada ya kumsimamia Uholanzi, bado hajapata matokeo mazuri kutoka kwake

Kiwango cha Antony kimeshuka na kuwa miongoni mwa wachezaji waliofanya vibaya zaidi waliosajiliwa katika historia ya Premier League bila kufunga bao au pasi za mabao katika mechi 20 za ligi.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement