Klabu ya Paok inayoshiriki ligi kuu ya Nchini Ugiriki imethibitisha kufanikiwa kunasa saini ya mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania Mbwana Ally Samatta. 

Samatta ni Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania na anajiunga katika klabu hiyo akitokea katika klabu ya KRC Genk alipokua akihudumu katika klabu ya mkopo akitokea katika klabu ya Fernabahce 

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement