Michuano ya Euro 2024 inaanza rasmi Ijumaa ya wiki hii ambapo Ujerumani (wenyeji) watachuana na Scotland katika Uwanja wa Allianz Arena jijini Munich.

Kwa mwezi mzima wachezaji mashuhuri na chipukizi kutoka Ligi bora duniani watachuana katika kinyang’anyiro hicho cha kuwania Ubingwa wa Ulaya.

1. Jude Bellingham (England)

2. Florian Wirtz (Germany)

3. Xavi Simons (Netherlands)

4. Rasmus Hojlund (Denmark)

5. Kevin De Bruyne (Belgium)

6. Kenan Yildiz (Turkey)

7. Lamine Yamal (Spain)

8. Phil Foden (England)

9. Kylian Mbappe ( France)

10. Josko Gvardiol ( Croatia)

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement