TIMU 14 HAZIJAPOTEZA MECHI MPAKA SASA
Timu 14 pekee kutoka katika ligi 10 bora duniani hazijapoteza mchezo wa ligi.
▫️ Tottenham Hotspours
▫️ Arsenal
▫️ Barcelona
▫️Bayer Leverkusen
▫️ Bayern Munich
▫️Borussia Dortmund
▫️ Fenerbahçe
▫️ Galatasaray
▫️ PSV
▫️ AZ Alkmaar
▫️ Feyenoord
▫️ Celtic
▫️ Nice
▫️ Sporting CP