Aritz Adorrs “Katika mchezo dhidi ya Real Madrid nilimpiga Kepler Lima(Pepe) kichwani na Sergio Ramos akanijia na kusema “ Unataka kuondoka uwanjani na lifti au na Ambulance chagua moja” Nikasema kwanini akiuliza swali kama hili Sergi " Alisema " Kwa sababu Pepe alisema nikuulize " 

Niliogopa na nikaenda kwa kocha na kumwomba anipunguze na kocha akasema "hatuna mchezaji wa akiba" kisha nikaenda kwa Sergio Ramos na nikasema" nataka kuondoka uwanjani na lifti " Sergio Ramos akanitabasamu na kumkimbilia Pepe kumwambia nilichosema , dakika chache baadaye wachezaji wenzangu walinipitishia mpira nikaona Pepe na Sergio Ramos walikuja kwangu " Nakumbuka tu nilipoanguka na nilipoamka nilikuwa hospitali. ” 

Huo ulikuwa mchezo wangu wa mwisho kama mchezaji wa mpira wa miguu.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement