Tanzania imewahi kubarikiwa kuwa na wachezaji walio bora na waliohudumu kwa mafanikio katika ngazi ya Vilabu pamoja na timu ya Taifa.

Mrisho Khalfan Ngassa ni miongoni mwa wachezaji hao na wakati anahudumu katika mchezo wa soka amefanya mambo makubwa sana

Ngass ndiyo mfungaji hora wa muda wote katika timu ya taifa ya Tanzania na vingi alivyofanya bado vinaendelea kukumbukwa.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement