Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa Antoine Griezmann amekua na muendelezo bora sana wa kiuchezaji pamoja na kuisaidia timu yake ya ya taifa kutafuta matokoeo.

Antoine Griezmann katika mechi 82 mfululizo ambazo amecheza katika timu ya taifa lake Ufaransa tangu August 2017.

▪️Magoli - 28

▪️Assist - 29

▪️Amefanikiwa kunyakua kombe la Dunia

▪️Amefanikiwa kunyakua Uefa Nations League

▪️Amefanikiwa kufika fainali 2 za kombe la dunia na timu ya taifa ya Ufaransa

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement