Mshambuliaji wa kimataifa wa Portugal anayehudumu katika klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo amefanikiwa kufunga katika jumla ya mashindano 22 tofauti katika historia yake ya soka mpaka sasa.

• Champions League

• La Liga

• Premier League

• Serie A

• World Cup

• EURO

• Nations League

• Saudi League

• AFC Champions League

• FA Cup

• English League Cup

• Spanish Super Cup

• Copa del Rey

• Primeira Liga

• Club World Cup

• Europa League

• UEFA Super Cup

• Super Cup Italia

• Portuguese Cup

• Copa Italia

• Saudi Super Cup

• Arab Club Champions Cup.

Cristiano Ronaldo ndio kinara wa kucheka na nyavu kwenye mbio za kusaka kiatu cha ufungaji bora Saudi Arabia mpaka sasa akiwa na jumla ya magoli 10.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement