Mchezaji wa kimataifa wa England anayehudumu katika klabu ya Manchester City Phil Foden (23) amekua katika kiwango bora sana tangu alipopandishwa katika timu ya wakubwa mwaka 2016.

▪️Mechi - 228

▪️Magoli - 61

▪️Assists - 44

▪️Mataji - 15


🏆🏆🏆🏆🏆 Premier League

🏆🏆🏆🏆 League Cup

🏆🏆 FA Cup

🏆🏆 Community Shield

🏆 UEFA Super Cup

🏆 Champions League

Phil Foden katika umri wa miaka 23 amefanikiwa kunyakua mataji makubwa katika ngazi ya vilabu.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement