DIEGO FORLAN : KIWANGO BORA KWENYE MAISHA YA SOKA
Diego Forlán ni moja wa washambuliaji bora ambao wamewahi kuhudumu kwenye mchezo wa soka katika kizazi chake,
Hizi ni takwimu za mkongwe Diego Forlan.
▪️Atletico Madrid : mabao 96, Assist 31
▪️Villarreal: mabao 59, Assist 4
▪️Manchester United: mabao 17, Assist 9
▪️Cerezo Osaka: mabao 19, Assist 5
▪️Internacional: mabao 13, Assist 4
▪️Penarol: mabao 8, Assist 13
▪️Independiente: mabao 14
▪️Inter Milan: mabao 2, Assist 3
▪️Kitchee: mabao 6, Assist 3
▪️Mumbia City: Bao 5, Assist 1