"Maofisa waandamizi wa klabu ya Al Ahly tayari wako nchini, wakiweka mambo sawa kuipokea timu yao".

"Mara hii wamewahi sana lengo ni kufanya upelelezi wa kuisaidia timu ipate matokeo".

"Kumbuka Simba Sc wako kwenye maandalizi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League inayotarajiwa kuzinduliwa kwenye uwanja wa Benjamini mkapa"

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement