Wawakilishi wa Nigeria katika mashindano ya klqbu bingwa Barani Afrika "Caf Champions League" katika msimu wa 2023/2024 zimeondolewa katika hatua za awali.
Beki wa kati wa Ufaransa, William Saliba, amekubali kusaini mkataba mpya na Arsenal, kwa mujibu wa ripoti ya mwandishi wa The Athletic, David Ornstein.