Taifa la Argentina kutokea American ya kusuni LINAKARIBIA kuweka rekodi mpya endapo litachukua kombe hili msimu huu kwani wao tayari wamefika tayari wakisuburi mchezo wa nusu fainali nyingne kati ya Uruguay na Colombia 

Rekodi hiyo itakua ni hivi, kama Argentina ikichukua kombe basi litakua ni taji la 16 kwa upande wao na kua taifa lililo fanikiwa Zaidi kuchukua kombe hili kuliko Uruguay ambao wote wamechukua mara 15.



Kumbuka Copa America ya 2021 taifa la Argentina ilibeba kombe hilo hivyo pia msimu huu inapewa nafasi kubwa sanaa kuchukua taji hili. 

Copa America ilianza mwaka 1916 na timu zilizo fanikiwa Zaidi ni Argentina na Uruguay kuchukua Zaidi mara 15 hivyo basi msimu huu Argentina anaweza kuweka rekodi mpya kua taifa lililo fanikiwa Zaidi. 

Lakini pia Messi amesaidia taifa la Argentina kufika fainali mara mbili mfululizo. 

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement