Suarez Alinyakua Tuzo Mbele ya Cristiano Ronaldo Pamoja na Lionel Messi
Mchezaji wa kimataifa wa Uruguay Luis Suarez anaamini alikua mchezaji hora sana na alifanikiwa kufanya vitu bora mbele ya wakongwe Ronaldo na Messi.
Luis Suarez 🗣
"Nilifanikiwa kunyakua kiatu cha ufungaji bora mara 2 katika kipindi ambacho nilikua nacheza ligi moja na Cristiano Ronaldo pamoja na Lionel Messi".
"Mpaka sasa bado najivunia kwa sababu hapo nilishinda kwa namba na sio kwa kura za kupigiwa na watu".