Stade De Rennais Imeuza Wachezaji Bora Zaidi Ulaya
▶ 2016: Ousmane Dembele akiwa na umri wa miaka 19 alijiunga na klabu ya Borussia Dortmund kwa gharama ya €35M.
▶ 2021: Eduardo Camavinga akiwa na umri wa miaka 18 alijiunga na klabu ya Real Madrid kwa gharama ya €31M.
▶ 2022: Mathys Tel akiwa na umri wa miaka 17 alijiunga na klabu ya Bayern Munich kwa gharama ya €20M.
▶ 2023: Lesley Ugochukwu akuwa na umri wa miaka 19 amejiunga na klabu ya Chelsea kwa gharama ya €27M.
▶ 2023: Jérémy Doku akiwa na umri wa miaka 21 amejiunga na klabu ya Manchester City kwa €60M.
Klabu kubwa barani Ulaya zinazidi kukusanya wachezaji wenye vipaji vikubwa kutoka katika klabu ya Stade Rennais.