PICHA 10 : HIVI HAPA VITU VYA GHARAMA SANA ANAVYO MILIKI RONALDO
Sasa huyu ndio Ronaldo mtu mashughuri Duniani ambae wala hauhitaji kujiuliza mara mbili kwamba yeye ni mtu mashughuri kwani vitu vyake tu vinaonyesha hivyo.
Private Jet yake binafsi iligharimu $70 milioni hapo achilia mbali Bugatti yake na McLaren ambazo watu wengi hawatawahi kuziona ana kwa ana.
Hata saa yake imetengenezwa ili kuendana na gari lake na inagharimu $1 milioni.
Fahamu mengi ya husuyo michezo #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha #startimestz CH 131 (antena) na CH 197 (Dish)
#Tv3Tanzania #GameOn



