PESA HAIJABADILISHA MAWAZO YA ROQUE
"Nathibitisha kuwa kuna klabu nyingi kutoka katika ligi kuu ya England zilikua zinahitaji kunasa saini ya Vitor Roque".
"Klabu ya Tottenham Hotspours pamoja na Manchester United zilituma ofa kwetu ambazo zilikua ni kubwa sana kuliko za Barcelona na zote zilikua zinakaribia €100m lakini Vitor Roque alitamani kujiunga na klabu ya Barcelona Pekee na hakukua na sababu yeyote ingemfanya abadilishe mawazo yake".- Andre Cury