Nico Jackson Afungua Akaunti Ya Mabao Chelsea
Mchezaji mpya wa klabu ya Chelsea Nicolas Jackson amefunga goli lake la kwanza akiwa ndani ya Uzi wa Chelsea.
Mauricio Pochettino tayari ameonyesha kuwa kuna kitu anahitaji kukipambania msimu huu na amekua na furaha juu ya pesa aliyoshawishi ili amchukue kijana huyo.
Chelsea walipipa kiasi cha €37m ili wafanikiwe kunasa saini yake.