"Kwa jinsi mechi zilivyokua zinaendelea mfululizo na mchezaji Eden Hazard anavyoshambuliwa na wachezaji wa timu pinzani uwanjani na waamuzi bado hawampi msaada mkubwa uwanjani".

"Siku moja tunaweza tusiwe na Eden Hazard tena uwanjani".- JOSE MOURINHO

Maneno haya alizungumza kocha Jose Mourinho 2015 baada ya kuona kipaji kikubwa cha Eden Hazard lakini alichezea vibaya na wachezaji wenzake uwanjani.

Eden Hazard akiwa na umri wa miaka 32 siku ya jana ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka.


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement