Mo Salah Kulipwa Mshahara Mkubwa Zaidi Ya Ronaldo
Al-Ittihad itampatia mshahara ambao utamfanya kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika ligi kuu ya Saudia.
Klabu hiyo ya Saudia tayari imekutana na wawakilishi wa Mo Salah mjini Doha na itampa mshahara zaidi ya Cristiano Ronaldo.
Wana uhakika kwamba Salah atavutiwa zaidi kucheza katika nchi ya Kiislamu pamoja na mshahara wake mkubwa.