Hamdi ameondoka Yanga Sc baada ya kuiongoza Yanga Sc kutwaa mataji matatu yakiwemo ubingwa Ligi Kuu bara, kombe la Shirikisho la CRDB (FA Cup) na kombe la Muungano kwa msimu wa 2024/25.


Kocha Hamdi aliipa Kipaumbe Yanga SC, lakini Yanga haikuchukua hatua yoyote ya kuzungumzia mkataba mpya wa kocha Miloud Hamdi.


Kocha Miloud Hamdi hadi mechi ya mwisho viongozi wa klabu ya Yanga hawakumwambia kama Kocha Hamdi wataendelea nae au la kabla hajasafiri kurudi kwao.

Unaweza kutazama na kupata tarifa za michezo kupitia #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha #startimestz CH 131 (antena) na CH 197 (Dish)


#Tv3Tanzania #GameOn

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement